Header Ads Widget

Responsive Advertisement

MAJUKUMU YA AFISA UTAMADUNI

 MAJUKUMU  YA SEKTA YA UTAMADUNI,SANAA NA MICHEZO

Afisa Utamaduni - Boaz Kisanji

Afisa Michezo- Goodluck G Shoo

1.Kusimamia sera ya maendeleo ya Utamaduni

2.Kugharimia uendeshaji wa shughuli mbalimbali za Utamaduni katika ngazi Wilaya.

3.Kuhamasisha wananchi kujivunia, kushiriki na kuhifadhi Utamaduni wao.

4.Kutumia fani mbalimbali za Utamaduni kama kichocheo cha maendeleo ya kijamii na kuichumi.

5.Kuziona na kuzitambua fani mbalimbali za Utamaduni kuwa  vyanzo vya mapato na uwekezaji .

6.Kusimamia Sera na maendeleo ya michezo

7.Kuratibu shughuli za vyama vya michezo vya wilaya na kuvipa ushauri juu ya sera,mafunzo na msingi wa kupata fedha za kuendeleza michezo.

8.Kuandaa mpango wa michezo wa muda mfupi/ mrefu na kuweka taratibu wa utekelezaji na kuleta maendeleo katika michezo

9.Kujenga viwanja vya michezo na maeneo ya burudani

10.Kudhibiti na kuhakiki matumizi halali ya maeneo yaliyotengwa kwa ajili ya michezo na burudani.

11.Kusimamia sera ya maendeleo ya vijana


Kumbuka Utamaduni ni kielelezo cha Taifa

Post a Comment

0 Comments