Header Ads Widget

Responsive Advertisement

HATARI MCHEZAJI WA LWANDAMILA ASAINI SIMBA

Mshambuliaji Juma Luizio wa Zesco ya Zambia ametua nchini usiku na kuna taarifa zinaeleza anaweza kujiunga na Simba kwa mkopo.

Luizio alikuwa chini ya Kocha George Lwandamina ambaye sasa amejiunga na Yanga.

Taarifa zinaeleza, Luizio amekubali kujiunga na Simba kwa mkopo ili kuboresha kiwango chake.


Mtanzania huyo amekosa namba ya kudumu katika kikosi cha Zesco chini ya Lwandamina.



Post a Comment

0 Comments