Header Ads Widget

Responsive Advertisement

NDUSHA APELEKWA KWA MKOPO OMAN

Simba imepenga kumtoa kwa mkopo kiungo mshambuliaji wake Mussa Ndusha.
Taarifa za ndani kutoka Simba zinaeleza Ndusha anapelekwa kucheza kwa mkopo nchini Oman.

“Ndusha alikosa nafasi ya kuonyesha kiwango chake na kuna taarifa anapelekwa kwa mkopo nchini Oman,” kilieleza chanzo.

Viongozi wa Simba, wameshindwa kumtema Ndusha baada ya kuonyesha uwezo wa juu lakini katika hatua za mwisho.


Awali, kulikuwa na taarifa kwamba Ndusha angetemwa katika kikosi cha Simba.



Post a Comment

0 Comments