London, Uingereza. Juhudi za kusaka dawa ya Ukimwi zimeanza kutoa dalili njema baada ya mtu aliyekuwa akiugua ugonjwa huo kudaiwa kupona, wataalamu wa afya wamethibitisha.
Hatua hiyo inakuja baada ya majaribio kadhaa ikiwamo tukio la kwanza wataalamu hao waliokuwa wakiendesha utafiti wanajipanga kuchapisha rasmi utafiti wao katika jarida la Nature.
Ni kwa zaidi ya miaka 12 sasa watafiti mbalimbali ulimwenguni wamekuwa wakifanya utafiti wa kupatikana dawa ya Ukimwi lakini wameshindwa.

0 Comments