Na
E. Mashele
info.masshele@gmail.com
Kwa kawaida kitabu kinasehemu kuu tatu, ambazo ni
Matini za awali
Matini za kitabu chenyewe
Matini za mwisho.
- MATINI ZA AWALI ZA KITABU
>ukurasa wa jina la kitabu
hutaja jina la mwandishi, jina la kitabu, mchapishaji, na maana wa kitabu kilipo chapishwa.
> Ukurasa wa haki miliki
hutaja
- mwenye umiliki wa kitabu
- mwaka wa haki miliki
-mwaka wa chapa ya kwanza
-Jina na anwani ya mchapishaji
-kauli kuhusu haki miliki ya kitabu chenyewe
-namba ya utambulisho ya ISBN
-ukurasa wa yaliyomo
-Orodha ya majedwali
-Ukurasa wa shukrani
-Ukurasa wa dibaji
MATINI ZA KITABU CHENYEWE
-yaliyomo katika kitabu (ikisiri)
-Utangulizi
Matini ya mwisho
-Marejeo
-viambatanisho
-Faharasa na fahirisi.
AINA ZA VITABU
hutegemea na mkabala utakao tumika kunaweza kuwepo vitabu vilivyopo katika nakala ngumu na vitabu vilivyo katika nakala tepe. Kwa mkabala wa ukubwa kunaweza kuwepo vitabu vikubwa na vitabu vidogo.
Sisi tuangalie aina mbili za vitabu ambazo ni vitabu vya kubuni na vitabu visivyo vya kubuni.
Itaendelea
www.masshele.blogspot.com
0 Comments