Na
E. Mashele
info.masshele@gmail.com.
Mtandazo wa kitabu huu ni mpangilio wa kurasa au kitabu kizima.
Hapa tuanaangalia ukurasa uwe na ukubwa gani.
Ukurasa ubebe kiasi gani cha mada.
Kurasa za kitabu ziwe na mwonekano gani
Je sura ikae kushoto au kulia?
vilevile nikatika kipengele hiki ambapo msanifu huamua ni ukurasa upi uwe na picha,
Swali la kujiuliza kwanini ni muhimu kuwe na mtandazo wa kitabu?
Kwanza lengo la kitabu nikufikisha maudhui, hivyo ni shurti maudhui hayo yapangiliwe vyema.
Pili tuna aina mbalimbali za walengwa wa kitabu.
Mambo ya kusingatia wakati wa kufanya mtandazo.
mosi, nilazima msanifu na mhariri wajiulize mlengwa wa kitabu ninani?
Pill, kitabu ni chains gani? Ziada au kiada?
0 Comments