Header Ads Widget

Responsive Advertisement

Hizi hapa kazi 10 za kifasihi ya kiafrika zinazofanya vizuri katika duka mtandao la Amazon

Kazi ya Chinua Achebe ya things fall apart inaongoza katika orodha hiyo

Mtandao wa Amazon unaojihusisha na uuzaji wa bidhaa mbali mbali duniani, umekuwa ukijihusisha pia na uuzaji wa vitabu mbali mbali duniani na miongoni mwa vitabu hivyo ni vitabu vya kifasihi, ambapo mtandao huo huonesha pia kazi zinazofanya vizuri katika mauzo yake. Kwa mujibu wa mtandao huo, kazi za kifasihi zilizofanya vizuri katika mauzo kutoka Afrika ni zile zilizoandikwa kwa kingereza huku zilizoandikwa kwa lugha za kibantu kama kiswahili zikikosekana kabisa katika orodha ya kazi zaidi ya 100.

Kazi kumi za juu hadi leo january 05/2020 ni

1. Things fall apart ya Chinua Achebe inayouzwa kwa $10

2. AMERICANAH ya Chimanda ngozi inayouzwa kwa $7

3. 50 masterpiece you have to read before you die vol 02 ya kathartika

4. Americah ( a notable books for adult ) ya Chimanda ngozi inayouzwa kwa $10

5. Purple Hibiscus ya Chimamanda ngozi inayouzwa kwa $11

6. Half of a yellow sun ya Chimamanda Ngozi inayouzwa kwa $14

7. Cry the Beloved Country  ya Alan Paton inayouzwa kwa $9

8. The thing around your neck ya Chimamanda Ngozi inayouzwa kwa $10

9. Things fall apart (Every man's library) ya Achebe inayouzwa kwa $10

10 Death of the kings ya Horseman inayouzwa kwa $16


Post a Comment

0 Comments