Katika karne ya 21, tarakilishi imesaidia pakubwa katika nyanja ya uchapaji na uchapishaji.
Tarakilishi yenyewe au iliyounganisha na intarneti huweza kuifanya kazi mbalimbali katika kukamilisha mswada kuwa Kitabu.
Zifuatazo ni kazi zinazoweza kufanywa na tarakilishi/kompyuta katika nyanja ya uchapishaji.
1. Kuandika mswada.
2. Kutafiti wazo
3. Kuhariri mswada
i. Kuingiza marekebisho
ii. Kutambua makosa
iii. Kuweka alama za uhariri.
iv. Kuseti
v. Kupanga
vii. Kuweka fonti na miangilio mingine ya maandishi
4. Kutafuta kampuni ya uchapaji
5. Kutafuta masomo
0 Comments