Watu 3 wamefariki dunia wakiwemo abiria 2 na mfanyakazi wa mmoja wa Shirika la Reli Tanzania (TRC) huku kukiwa na majeruhi 25 kufuatia ajali ya treni iliyotokea eneo la Bahi mkoani Dodoma.
Mkurugenzi wa TRC Mhandisi Masanja Kadogosa athibitisha.
Mkurugenzi wa TRC Mhandisi Masanja Kadogosa athibitisha.
0 Comments