Header Ads Widget

Responsive Advertisement

Update ajali ya Treni Dodoma

 


Madaktari na wahudumu wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma wakiwa tayari kupokea majeruhi na maiti kutoka eneo la ajali ya treni iliyotokea Jumamosi jioni. Ajali hiyo imetokea kati ya kituo cha Kintinku na Bahi, chanzo chake badi hakijaelezwa na mamlaka husika. Taarifa zaidi kadri tutakavyozidi kuzipata kutoka Dodoma.


Post a Comment

0 Comments