Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania, Masanja Kadogosa amesema watu watatu (abiria 2 na mfanyakazi wa TRC) wamethibitishwa kufariki mpaka sasa, katika ajali ya treni mkoani Dodoma. Treni hiyo iliyokuwa ikielekea Bara kutokea Dar es Salaam ilikuwa na zaidi ya watu 700.
0 Comments